Bondia Imani Daud kushoto akipambana na Hamaduu Mwalimu wakati wa mchezo wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita tandika Dar es salaam Daud alishinda kwa pointi katika mpambano huo wa raundi sita
Bondia Hamaduu Mwalimu akimrushia konde Imani Daud wakati wa mchezo wao uliofanyika Tandika Dar es salaa Daud alishinda kwa point.
Bondia Nobel Syrvesta kushoto akipambana na Bakari Dunda wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Nobel alishinda kwa point picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com
No comments:
Post a Comment