ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, September 2, 2014

WEST INDIAN CARIBBEAN AMERICAN LABOR DAY PARADES NEW YORK JITIRIRISHE MWENYEWE

Labor Day Weekend Parades NewYork ni kitu kikubwa sana kila mwaka, siku hii ufanyika Tarehe 1 ya mwezi wa tisa kila mwaka. Watu kutoka sehemu mbali mbali za Marekani na nje ya Marekani ufika New York maalum kwa ajili ya siku hii. Siku hii ujulikana kama West Indian Caribbean American Labor Day Parades watu utembea kwa umbali wa kilo miter 3 huku wakicheza ngoma na mavazi ya kitamaduni yenye hasiri ya nchi zao bendera na mambo mengi ya kuvutia. Jitirirshe na picha na utaona watu walivyo kuwa wanajiachia kwa kufurahia utamaduni wao ingawa wako nchi ya watu kimaisha lakini nyumbani ni nyumbani.
Mmoja ya akinadada akiwa na mavazi hayo katika parade hiyo inayo jumuisha watu kutoka visiwani.
Moja ya ujumbe uliosomeka kama hivi katika sherehe hizo za Labor Day Weekend New York
Dr Florence alidakwa na ukodak wa Vijimambo, Tembaphoto akiwa kwenye sherehe hizo kujionea kilichokuwa kinaendelea.
Watu uwekewa uzio hili waweze kutembea kwa utaratibu unaotakiwa 
Habari ndiyo hii  mambo haya ufanyika  Easten Parkway hadi Flatbush Ave Brooklyn New York, kwa taswira zaidi ya siku hii jitirirshe chini



No comments: