Bondia Hamza Mchanjo akinolewa na kocha Saidi Chaku katika GYM ya Gongolamboto Dar es salaam jana Mchanjo anajiandaa na mpambano wake na Juma Fundi utakaofanyika Oktoba 25 katika ukumbi wa Frends Corne Manzese

Bondia Hamza Mchanjo kushoto akizipiga na Hassan Hoza wakati wa mazoezi yao yaliyofanyika katika GYM ya Gongolamboto makaburi ya Kichina Dar es salaam Mchanjo anajianaa na mpambano wake na Juma Fundi utakaofanyika
October 25 katika ukumbi wa frends corner manzese
Bondia Hamza Mchanjo kushoto akizipiga na Hassan Hoza wakati wa mazoezi yao yaliyofanyika katika GYM ya Gongolamboto makaburi ya Kichina Dar es salaam Mchanjo anajianaa na mpambano wake na Juma Fundi utakaofanyika
October 25 katika ukumbi wa frends corner manzese Picha na SUPER D BLOG

No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake