Mwigizaji Kajala Masanja Wema alisahidia kumnusuru kutumikia kifungo jail lakini sasa uwezi kuamini wawili hawa hawapikiki chungu kimoja unaweza kujifunza nini kutoka kwao?. Au unafikiri ni nini kimesababisha haya yote kutokea?.
2 comments:
Anonymous
said...
Nawapa hongera kwa kuiwezesha Tanzania kujulikana kama kuna makahaba wa kileo na wenye ustadi wa kuufanya ukahaba wao wengi wazidi kuiga mifano yao. Hongereni KAJALA na WEMA kazi ni kazi tuu. Starehe mnapata umaarufu mnapata na pesa mnapata
I use to love Kajala lakini baada ya kutembea na bwana wa Wema ambaye alikuwa ni rafiki yake wa kupika na kupakua?! Nimemdharau. Kajala amebroke "GIRL CODE"

Post a Comment