Leah Kalanguka (kati kati) ndiye mshindi was Miss Unganda 2014
Kufuatia mrembo huyu kukosolewa sana mtandaoni, watu maarufu pia kama Bobi Wine na Anne Kansiime wamemtetea mrembo huyu na kutaka watu kuacha kumkosoa mrembo huyu bila kufahamu ni kwa namna gani amepambana kushinda nafasi hii

No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake