Advertisements

Monday, October 13, 2014

MSAADA KWENYE TUTA

Wadau wa kiswahili naomba masaada wa usahihi wa neno Turubai kuna wengine nimesikikia wakiita turubali kitu ambacho kilileta ubishi mwingi kuhusiana na usahii wa neno lenyewe. Je usahihi ni nini ni TURUBAI au TURUBALI asante

7 comments:

Anonymous said...

TURUBALI

Anonymous said...

Usahihi ni TURUBALI na sio TURUBAI

Unknown said...

Ni Turubali!

Anonymous said...

Turubai

Anonymous said...

TURUBALI. kiwanda cha maturubali morogoro. MOROGORO CANVAS LTD.

Anonymous said...

....TURUBAHI....

Anonymous said...

Tulubari.