Kwanza nashukuru sana kwa msaada wenu wa neno turubai na turubali . Wadau nchi ya kusini mwa Afrika hunitatiza sana na kunifanya nisijue usahihi wa inavyoitwa wadau wengine utawasikia wakiita Afrika Kusini wengine Afrika ya Kusini usahihi hapa ni upi asanteni
3 comments:
Afrika Kusini ni South Africa na Afrika ya Kusini ni Southern Africa. Southern Africa is not a country but South Africa is.
Africa kusini. kama vile Africa mashariki Africa mangharibi.
vile vile sio msaada kwenye tuta ile msaada tutani.
Kusini mwa Afrika!!
Post a Comment