Mhe. Liberata Mulamula akihudhuria nyama choma ya DICOTA 2014 iliyofanyika baada ya mkutano mkuu kumalizika jioni ya Jumamosi Oct 4, 2014.
Mkuu wa kitengo cha Diaspora Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa Bi. Rosemery Jairo akichoma kuku kwenye nyama choma ya DICOTA iliyofanyika jioni ya Jumamosi Oct 4, 2014 Durham, North Carolina.
Wadau mbalimbali waliohudhuria mkutano wa DICOTA 2014 wakipata nyama choma.
Nyama choma ikiendelea.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment