Wednesday, October 29, 2014

PITA PITA YA VIJIMAMBO BONGO

Hamza Mandia Brooklyn. NY akiwa na mdhamini wa pendo lake baada ya kufunga ndoa timu ya vijimambo ina wapongeza na kuwataki furaha na afya njema katika maisha yao ya ndoa.

3 comments:

  1. hongera shekh Hamza nakutakia kila la heri katika maisha yenu ya ndoa na mwenyezi mungu awaongoze inshallah..kocha wako new york

    ReplyDelete
  2. mwanamke mzuri mashallah mtunze kama uwa hamzaa.kila la kheir.

    ReplyDelete
  3. Hongera sana Mr and Mrs Mandia. Mungu awatangulie katika ndoa yenu. she is gorgeous

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake