Advertisements

Saturday, October 4, 2014

Salama za Eid Mubarak from North Carolina

Miss Temeke katika picha ya pamoja na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bw. iddi Sandaly walipokwenda kupata Sala ya Eid leo Jumamosi Oct 4, 2014 Durham, North Carolina ambapo wote wawili wanahudhuria DICOTA 2014 Convention inayofanyika katika hoteli ya Millennium mjini humo.
Wadau waliohudhuria DICOTA 2014 Convention Durham North Carolina wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kupata sala ya Eid leo Jumamosi Oct 4, 2014.

1 comment:

Anonymous said...

eid Mubarak, waislamu wote popote pale mlipo hapa duniani.mshikamane msimuachiye adui nafasi akutengeni,mumtii Allah kikweli kweli na muwe wacha mungu,because duniani tunapita njia tu hapa kesho tutakuja kuliza tuliyoyatenda.tuwe wachungaji wema wa family zetu,wake na watoto wetu,na ndugu zetu wa kike.

eid Mubarak to all.inshallah iwe eid njema kwa wote iliyojaa kila la kheir na barka tele na Allah atukubaliiye dua zetu na atusamehe tuliyomkosea atuongoze katika njia yake ya haki ya sirataa mustakeem. Allah ma amin.