ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 9, 2014

TASWIRA ZA INSTAGRAM PARTY JEMBE BEACH MWANZA

Instagram Party iliyofanyika Jembe Beach Mwanza usiku wa Oct 4, 2014 na kuhudhuliwa na mashabiki wa Instagram ambapo Wakazi, Ben Paul, Stereo na Songa walifanya onesho kali huku Madi Vasley na Dommy wakifanya vitu vyao.
Mashabiki wa Instagram wakipata picha ya pamoja wakati wakiwa kwenye Instgram Party iliyofanyika Jembe Beach Mwanza.
Ni ukodak Moment kwa kwenda mbele ndani ya Jembe Beach Mwanza.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: