Sauti ya Diamond sio ya Live perfomance ni ya studio inabidi ajifunze kuirutubisha sauti yake kama huyo Dada kamfunika, Na pia hajazoea kuimba duet ya ukweli sauti ya Yemi ilikuwa inammeza vibaya. From this inabidi akajinoe haswa kipaji no doubt anacho akiboreshe zaidi otherwise atapotea kama puto la bazoka kimataifa. Find him a vocal coach akija huku
This song doesn't make any sense
ReplyDeleteDiamond kachemsha
ReplyDeleteNampenda sana Diamond, lakini hapa
ReplyDeletehakuna kitu...sasa nyimbo gani hii
Sauti ya Diamond sio ya Live perfomance ni ya studio inabidi ajifunze kuirutubisha sauti yake kama huyo Dada kamfunika, Na pia hajazoea kuimba duet ya ukweli sauti ya Yemi ilikuwa inammeza vibaya. From this inabidi akajinoe haswa kipaji no doubt anacho akiboreshe zaidi otherwise atapotea kama puto la bazoka kimataifa. Find him a vocal coach akija huku
ReplyDeleteYaani huyu ndio wa kumfananisha na Kiba, duu! hamfikii hata chembe sauti mbovu, media zinambeba
ReplyDelete