Wednesday, October 29, 2014

Ukimwona, Diamond Platnumz & Yemi Alade, Coke Studio Africa

5 comments:

  1. This song doesn't make any sense

    ReplyDelete
  2. Nampenda sana Diamond, lakini hapa
    hakuna kitu...sasa nyimbo gani hii

    ReplyDelete
  3. Sauti ya Diamond sio ya Live perfomance ni ya studio inabidi ajifunze kuirutubisha sauti yake kama huyo Dada kamfunika, Na pia hajazoea kuimba duet ya ukweli sauti ya Yemi ilikuwa inammeza vibaya. From this inabidi akajinoe haswa kipaji no doubt anacho akiboreshe zaidi otherwise atapotea kama puto la bazoka kimataifa. Find him a vocal coach akija huku

    ReplyDelete
  4. Yaani huyu ndio wa kumfananisha na Kiba, duu! hamfikii hata chembe sauti mbovu, media zinambeba

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake