VOA YAZINDUA MATANGAZO YA ALASIRI VOA EXPRESS.
utoka kushoto waliosimama ni Producer Dwayne Collins, Engineer Zaynab, Sunday Shomari na Harrison Kamau na waliokaa kutoka kushoto ni Idd Ligongo, Esther Githui Ewart, Mary Mgawe na mkuu wa idhaa ya Kiswahili Mwamoyo Hamza.
Timu ya VOA EXPRESS iliyofungua matangazo ya kwanza ya Alasiri saa za Afrika Mashariki saa 10.30 Jumatatu hadi Ijumaa Oktoba 27,2014. Kutoka kushoto Mary Mgawe, Idd Ligongo ,Sunday Shomari, Esther Githui Ewart, Khadija Riyami, Dwayne Collins, Mkuu wa idhaa Mwamoyo Hamza na Harrison Kamau.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake