Dj Seif akifanya vitu vyake siku ya Ijumaa Safari Club usiku wa kuagana na msanii Cassim Mganga aliyeondoka siku ya Jumamosi Asubuhi kuelekea Bongo home sweet home.
Boyebo katika picha akiwa ndani ya Safari usiku wa Ijumaa Oct 10, 2014 siku msanii wa Bongo Flava alipowaaga wana DMV.
Msanii Cassim Mganga (watatu toka kushoto) akiwa na mashabiki wake waliojitokeza kumuaga usiku wa Ijumaa.
Cassim Mganga akiwa na shabiki toka Delaware (mwenye fulana ya pinda milia)
DMK ndani ya nyumba usiku wa Cassim Mganga
Boyebo katika picha ya pamoja na Cassim Mganga.
Mashabiki wakipata picha na msanii Cassim Mganga.
Ni ukodak moment wa kumuaga msanii Cassim Mganga.
Mshabiki wa Cassim Mganga wakifurahia picha naye.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake