ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, October 4, 2014

ZOEZI LA UTOAJI KADI LA ENDELEA CCM NEW YORK KUELEKEA KWENYE UCHAGUZI TAREHE 11 MWEZI HUU

Shaban Mseba na Seif Akida wakimkabizi kadi ya CCM Dr Temba na kushoto  kwa Dr ni Ebra akishuudia utoaji kadi huo uliofanyika Brooklyn  NY. Tawi la CCM New York liko mbioni kufanya uchaguzi wa viongozi mwezi huu tarehe 11. Uchaguzi huo utafanyika 30 Overhill Rd, Mt Vernon.NY. Chukua kadi yako mapema hili uwe na haki ya kupiga kura siku hiyo kumchagua kiongozi wako. 
Desdery na Dr Temba wakionyesha kadi zao za CCM

5 comments:

Anonymous said...

Hivi huyu Tema alichelewa wapi kimaisha? CCM yuko, chama cha Watanzania NY yupo, je kwa nini asianzishe chama chake binafsi cha watu wa kwao? Naona ana njaa ya uongozi kweli kweli. Halafu na huyo katibu mbona naye njaa tuu?

Anonymous said...

umetoka shabani mseba, Alhamdulillahi rabbi laalamin, eid Mubarak. mungu mkubwa walikuwa wanakupiga madongo wewe huwezi kuamini,eti utaoze huko huko, tamaa mbaya inakuponza na mengi sana mimi nilisema mungu mkubwa atakutoa basi jamaa zako hawa wakaziba comment yangu.

sijui kama hii wataiweka. Alhamdulillahi rabbi laalamin umetoka si haba.mungu akuvue hili na lile amin

Anonymous said...

wajanja wa mujini,wanachangamkia tender halisi....nakukubalini wakuu wote hapo mlipo

Anonymous said...

hujui wewe kama wachang ni wajasiria mali,basi na yeye ndo hivyo msaka tonge,mchumia tumbo.lakin ni msomi usimtazamen kwa woga sema na anakipenda sana chama cha magamba na kuna faida huko anayoipata,watu wote magamba marekani wanapata faida.

tizama shabani mseba ametoke kwa wadhamini wa ccm/magamba oyeeeee. mnafanya kweli itabidi na mimi nijiunge na nyinyi oyeee.

Anonymous said...

CHAMA CHA SIASA ni MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE .