Going Bongo
Going Bongo ni filamu ya kwanza ya kutoka Tanzania ambayo imepenya katika kiwango cha kimataifa. Going Bongo ni filamu ya kwanza kutoka Afrika Mashariki inayopatikana katika mtandao wa iTunes. Pia ni filamu ya kwanza ambayo inaanza kuonyesha sura mpya ya viwango vya filamu Tanzania. Filamu hiyo ya drama inayosisimua, Inahusu daktari wa Kimarekani anayekuja kufanya kazi Tanzania kwa muda wa mwezi mmoja, imetengenezwa kwa kiwango cha hali ya juu, kinachoonekana kuleta mabadiliko makubwa na ushindani wa utengenezaji wa filamu Tanzania. Watanzania wote duniani popote pale mlipo mnaombwa kupata copy yako ya filamu hii nzuri na mali yetu ya Tanzania. hazina yetu ya kujivunia kupitia mtandao wa itunes bit.ly/goingbongoitunes pia Unaweza kutazama trailer hapa: http://youtu.be/So0QIUM6kOM Kwa wale ambao hawatumii iTunes wanaweza kuorder DVD hapa bit.ly/goingbongodvd Watumie taarifa ndugu, jamaa, marafiki na jumuiya nyingine za Watanzania au Waafrika kwenye Diaspora. Pamoja Inawezekana!Usikose kupitia links zifuatazo
Kwa video zingine Bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake