Saturday, November 1, 2014

CAROLINE BERNARD ANYAKUA TAJI LA MISS UNIVERSE 2014

Mrembo Caroline Bernard akipungia mkono muda mfupi baada ya kutangazwa rasmi kuwa ndio Miss Univerce 2014, katika hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip,Jijini Dar es Salaam.

Mrembo Calorine Bernard akipongezwa na washiriki wenzake.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake