Bondia Maisha Samson kushoto wakitunishiana misuli na Ibrahimu Tamba wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika jumapili ya novemba 9 katika ukumbi wa manyara park tandale CCM
Bondia Maisha Samson kushoto wakitunisha misuli na Ibrahimu Tamba wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika jumapili ya novemba 9 katika ukumbi wa manyara park tandale CCM
Samson Maisha
Mabondia Ibrahimu Tamba wa Dar kushoto na Samson Maisha wa Kyela Mbeya wakinyoshwa mikono juu na mratibu wa mpambano huo Jafari Ndamewakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika Jumapili ya Novemba 9 katika ukumbi wa Manyara Park Tandale CCM
Mabondia Ibrahimu Tamba wa Dar na Samson Maisha wa Kyela Mbeya wakitunishiana misuli wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika Jumapili ya Novemba 9 katika ukumbi wa Manyara Park Tandale CCM katikati ni mratibu wa mpambano huo Jafari Ndame Picha naSUPER D BLOG
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake