Rais wa Jukwaa la Wabunge wa SADC (SADC PF) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Anne Makinda akilakiwa kwa shangwe na Viongozi wa UWT mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jana Usiku ikiwa ni furaha za kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa Jukwaa la Bunge la SADC mjini Victoria Falls, Zimbabwe.



No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake