Sunday, November 2, 2014

MSAADA TUTANI

hii picha imekuwa ikisambaa sana kwenye mitandao ninaomba kama kuna mtu anafahamu uwezekano wa kupatikana kwa watoto hawa kwenye hii picha. Msamaria mwenye nia ya kuwasaidia ameomba jina lake lisitajwe bali anaomba yoyote anayefahamu jinsi ya kuwapata hao watoto atume email kwa
Asante sana!

1 comment:

  1. ndiyo tatizo la mitumba hiyo, mtu unajivalia tu bila kujuwa wala kujali.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake