Tuesday, November 4, 2014

TBC KUONESHA LIVE RAIS KIKWETE ANAPOONGEA NA WAZEE WA DODOMA WAKATI WOWOTE KUANZIA SASA

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Profesa Jakaya Mrisho Kikwete
mchana huu ataanza kuzungumza na Wazee wa Dodoma katika ukumbi wa
Kilimani mjini Dodoma wakati wowote kuanzaia sasa. Usikose kuangalia
mazungumzo hayo yatayooneshwa moja kwa moja na TBC One pamoja na
mtandao wa www.ikulu.go.tz

IMETOLEWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA RAIS IKULU,

NOVEMBA 4, 2014

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake