Friday, November 7, 2014

The Sound of African Beauty Concert

Tunapenda kuwakaribisha watu wote na rangi zote katika ufanisi wa event hii. Kwa information zaidi tembelea web yetu www.sabministries.org.

1 comment:

  1. Mungu awabariki sana waandaaji wa event hii. Kingdom media hongera sana kwa quality/ubora wa video zenu za waimbaji. Lakini mnazo video za concerts za miaka ya nyuma? Itabariki zaidi mkiwa nazo ili ambao hawakuhudhuria nao wajipatie. Pia waimbaji toka Tanzania watakuja wangapi? Kama wapo tafadhali nyie K.M. muwaboreshee video zao toka bongo. Tena wasituuzie vcd,tunataka dvd zenye ubora.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake