Friday, November 14, 2014

VIDEO YA SIKU RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOTOKA HOSPITALI BAADA YA KUPATA NAFUU


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Daktari Bingwa Edward
Schaeffer kutoka Hospitali ya Johns Hopkins iliyoko Baltimore,
Maryland, Marekani alipokuwa amelazwa baada ya kufanyiwa upasuaji wa
tezi dume mwishoni mwa wiki iliyopita.
Pamoja naye ni Mama Salma Kikwete na wasaidizi wake.

2 comments:

  1. lini utarudi nyumbani tunakusubiri tukupe pole na sisi huku.tunateseka sana tuna ku miss raisi wetu

    ReplyDelete
  2. vijimambo kwa kujipendekeza nakupeni tanoo na video juu hahaaa mwaka huu tutaona na kusikia mengi sinema ya bure hiiiiiiiiiiiiiiiii,usani at work

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake