Friday, November 7, 2014

WIMBO WANGU WA LEO

3 comments:

  1. nyinyi mnadola mko marekani sisi tuna visenti,hatuhofu harasa hakuna kulala.shida tumezalia nazo si kikwazo.maisha yetu ya uswazi hatuishi marekani.hatuhofu hasara hakuna kulala tuna punguza stress kwa kucheza na kufurahi ngoma hiizii.

    ReplyDelete
  2. Asante sana sana sana... Naomba uirudie hii na nyingine zote za SHAA kwa wiki hii inayoishia na wiki nzima ijayo Tafadhali.
    Mimi
    SINDBAD (THE KING)@WASHINGTON DC

    ReplyDelete
  3. Wimbo mzuri ila shida ni vyema kusahau

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake