Watanzania twendeni na wakati huu sio wakati wa kusimamamia imani za aina hii.Tuko kwenye digital age,mambo yote hufanyika kitaalamu na kwakutumia vifaa vilivyothibitishwa.. Wake up country!
imani ya kishirikina hizi nakumbuka toka zamani eti huyu mmnyama tukimuona akila kitu au kuwa karibu na kitu eti ndo utabiri wake.chapeni kazi kwa sana na musome ndo mtaepukana na umasikini wenu si imani hizi zakishirikina japo kuwa zipo imani hizi za nguvu za giza.
huyu mdudu ni samaki au kobe wa baharini au kiuwa?je analiwa?kwa anaye jua msaada please tuambiyeni kwa jina la kizungu tufanye research tujuwe please.
Watanzania twendeni na wakati huu sio wakati wa kusimamamia imani za aina hii.Tuko kwenye digital age,mambo yote hufanyika kitaalamu na kwakutumia vifaa vilivyothibitishwa..
ReplyDeleteWake up country!
imani ya kishirikina hizi nakumbuka toka zamani eti huyu mmnyama tukimuona akila kitu au kuwa karibu na kitu eti ndo utabiri wake.chapeni kazi kwa sana na musome ndo mtaepukana na umasikini wenu si imani hizi zakishirikina japo kuwa zipo imani hizi za nguvu za giza.
ReplyDeletehuyu mdudu ni samaki au kobe wa baharini au kiuwa?je analiwa?kwa anaye jua msaada please tuambiyeni kwa jina la kizungu tufanye research tujuwe please.
ReplyDeleteanavutia kuliwa
Kazeni buti mfanye maendeleo sio mtegemee kakakuona na ushirikina
ReplyDelete