Sunday, December 28, 2014

KIJIWE CHA UGHAIBUNI KURUDI HEWANI MWAKANI KAA MKAO WA KULA

Benja na Yasin(kushoto) katika picha ya pamoja,

3 comments:

  1. Kumbe uzee haupigi hodi sura za hawa vijana ni tofauti kabisa na miaka saba iliyopita,dawa ni kujiandaa na mafao ya social security.

    ReplyDelete
  2. mmependeza wenyewe mabest but aaaah

    ahaaa pole pole wakuu mbona mnakumbatiana hivyo? aaah pole pole.

    na lini tutakuoneni tena kwenye kijiwe cha ughaibuni?

    benja umeshaanza kuota mvii mkuu.

    ReplyDelete
  3. Benja mvi mambo ya pesa

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake