Wadau wakiwa DMV wakiwa ndani ya mgahawa wa Safari wakijipatia wakimalizia sikukuu ya krismasi na kuukaribisha mwaka kwa kujinafasi na menyu kwenye mgahawa huo uliopo mtaa wa Georgia jijini Washington, DC.
Kushoto ni Mindi Kasiga akifuatiwa na Edward Taji na Tom wakipata ile roho inapenda ndani ya mgahawa wa Safari DC.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake