ANGALIA LIVE NEWS

Friday, December 12, 2014

MTOTO WA KAPTEN JOHN KOMBA AIBUKIA NCCR-MAGEUZI

Mwenyekiti mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) James Mbatia
akisalimia wananchi wakati akipita katika kijiji cha Kahe ,jimbo la
Vunjo ambako amefanya mikutano katika vijiji mbalimbali ya kuwanadi
wagombea wa nafasi ya Uenyekiti.
Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti katika kijiji cha Ngaseni B katika
jimbo la Vunjo,Amfrosia Komba (41),mtoto wa Mbunge wa jimbo la Mbinga
Magharibi kapt,John Komba(CCM) akijinadi kwa wapiga kura katika kijiji
hicho.Amfrosia maarufu kama Zawadi anagombea nafasi hiyo kwa tiketi ya
chama cha NCCR-Mageuzi.
Mwenyekiti Mbatia akiwasili eneo la mkutano

No comments: