Tuesday, December 30, 2014

PICHA YA LEO

GOOD Samaritans help a disabled man to cross a flooded session of Msimbazi Street. (Photo by Robert Okanda)

2 comments:

  1. Hii imekaaje? Ni "session" au "section"? Jamani turnpike kwa kiswahili tu kwenye blog ya jamii. Nimechanganyikiwa tayari

    ReplyDelete
  2. halafu tunaimbiwaga kwamba bongo tambarare miundo mbinu hata hatuna mvua zikinyesha hakuta sehemu za kupitia hayo maji mambomba toka Enzi za mjarumni halafu tumejitawa wenyewe na uhuru wa miaka 50 what a shame shame shame.

    vifisadi vinapeta kwa mali ya umma lakini kuna mwisho wake hakuna mapana yasiyo na mwisho wake.

    haikuwa firauni leo hii watu wanakwenda kuangalia mwili wake kama makumbusho itakuwa hawa mafisadi hata robo hawampati firauni.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake