Bi. Bernadeta Kaiza alipopokea cheti chake kutoka kwa Raisi wa Chuo hicho Bi. Patricia McGuire.
Makamu Katibu wa Jumuiya ya Watanzania DMV Mheshimiwa Bernadeta Kaiza amehitimu Stashahada ya juu ya Science katika chuo Kikuu cha Trinity hapa Washington DC.
Bi. Bernadeta Kaiza akiwa na watoto wake Bryan Mwombeki na Briana Kagemulo.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake