Kha! Aliyebandika hii post alikuwa na haraka kweli, no editing no what tutafika namna hii na tuko mamtoni?
Sio huyu tu, linakuwa tatizo la kitaifa kutokufanya editing. Angalia vichwa vya habari vya magazeti mbalimbali utashangaa. Naona bloggers wamelianzisha Print media wameliweka kwenye next level. Aibu kweli si kiswahili wala Kiingereza makosa kibao..
Post a Comment
2 comments: