Saturday, January 10, 2015

MBUNGE WA MBEYA MJINI APATA AJALI MLIMA KITONGA

Muonekano wa gari la Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' baada ya kupinduka. Mbunge huyo akiwa pembeni kushoto.
Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' anusurika ajalini jioni ya leo baada ya gari yake kupata hitilafu ya breki na kupinduka mlima kitonga akitokea Mbeya kuja Dar.

1 comment:

  1. Pole Mhe Sugu. Tukumbuke spidi inaua. Hata shangingi linapinduka. Tushukuru Mungu mtu yeyote hakupoteza maisha.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake