Monday, January 5, 2015

Mhe. Omar Mjenga amtembelea mhe. Modest Mero ofisini kwake.

Balozi wa Tanzania wa Kudumu Umoja wa Mataifa Geneva, Mhe. Modest Mero akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Mhe. Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Tanzania; Dubai, alipomtembelea ofisini kwake Geneva.

Wote wawili walilitumikia Taifa kwa pamoja katika Ubalozi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa New York.

1 comment:

  1. Mjengais my favourite diplomat, anapenda kujinadi

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake