ANGALIA LIVE NEWS

Monday, January 5, 2015

MAPENZI NOMA DIAMOND ANASWA.AKIBEBESHWA POCHI NA ZARI

Baada ya Diamond Platinumz a.k.a Chibu kunaswa na camera akiwa amembebea mkoba wa mpenzi wake Zarri Hussein, jiulize je wanaume wangapi tunaliweza jambo hilo.
Kwa kitendo hicho ambacho wanawake wengi wamekifagilia na kukiita cha kigentleman unampa maksi ngapi msanii huyu?

15 comments:

Anonymous said...

Hakunagaaaa kama Diamond! 100% kutoka kwangu

Anonymous said...

Kusema ukweli mie Nawapenda hawa wote na ni supporter wao wa kimya kimya. LAKINI DIAMOND HATAKIWI KUSHIKA VIPOCHI . Yeye ni big star kwanini anashikilia VIPOCHI na clutches this is tooooooo low I mean tooooo law kwa hadhi Yake. Hata ukimpenda Vipi Zari usibebe kipochi chake.
Kwanza it's too Feminine
Pili unaonekana huko weak wakati wewe ni BIG AFRICAN STAR.
Mpende akuwekee miguu mvalishe Viatu mvalishe miikufu fanya yoooote lakini usibebe vipochi vyake.

Wewe ni Sura ya Tanzania kimuziki (FACE OF TANZANIA IN THE MUSIC WORLD ) please kumbuka Hilo. Your our ambassador Diamond owkay Mwaaaah!.

Pia she is the finest lady for you .Stand strong ignore what your haters say LOVE IS BEAUTIFUL ENJOY IT WHILE IT LASTS yani your class has gone higher and higher.
STAND STRONG MSALIMU MAMAYAKO. I LOVE HOW YOU CARE FOR YOUR MAMA.
Linda Bezuidenhout

Anonymous said...

Pochi wanashika tuu wanaume ni upendo acheni maneno

Anonymous said...

MMEANZA SASA KITU GANI CHA AJABU UNA MAANA WEWE HAPO JUU MTOA MAONI WA KWANZA HUWEZI MSAIDIA HATA KUBEBA MTOTO KAMA YUKO BIZE?

ACHENI USWAHILI WENU .GO GO GO DIAMOND MWENYE WIVU AJINYONGE

MDAU DENMARK

Anonymous said...

huo ni kuonyesha upendo..safi sana diamond..mwacheni dogo ale raha zake

Anonymous said...

Linda naona umesha zeeka, mwanamme kumbebea mpenzi wake pochi ni kitu cha kawaida sana. Ni upendo wa hali ya juu, labda kuko kwenu ATLANTA ndo matatizo. Big up Diamond

Anonymous said...

Safi sana kijana, usisikilize maneno yasio na manufaa.
Wewe kubeba pochi hakukugeuzi kuwa mwanamke.
Huja nunua pochi la kike kwa ajili yako, umebeba la mpenzi
wako,whats wrong??? Big up. Na hutu dada ni high class,
fanya mfunge ndoa, muache zinaa ni (Haram).

Anonymous said...

Ha ha ha. Wewe Diamond Wema lazima roho imwuume. Acha kuchezea watoto wa wenzake chagua moja umpendae utulie.

Anonymous said...

that is what I call humility

Anonymous said...

Lazima awe kidume bwana atabebaje vipochi kama kapewa limbwata. We Diamond kama limbukeni wa wanawake wazuri usitutie haya. Ingekuwa mama yako au dada yako sawa sio mwanamke wako bwana mbona umakuwa Kama babu jinga

Anonymous said...

Lazima awe kidume bwana atabebaje vipochi kama kapewa limbwata. We Diamond kama limbukeni wa wanawake wazuri usitutie haya. Ingekuwa mama yako au dada yako sawa sio mwanamke wako bwana mbona unakuwa Kama babu jinga

Anonymous said...

We wa hapo juu uliesema Linda anaanza kuzeeka mbona ume ropoka Kama umekula pilipili Linda mtamwacha nyie mtazeeka yeye Yuko kigori miaka nenda rudi. Katoa ushauri tu kama sie wengine wote chuki binafsi za nini.

Anonymous said...

mwanaume kushika pochi ni kuonyesha anajali. si unajua hizi pochi zetu sometimes zinavyokuwa nzito, sasa daddy ake akikusaidia ni powa tu. tena mie wa kwangu anaibeba hata tukiwa mall, comfortably baba wa watu

Anonymous said...

linda ndio nani!!!!!

Anonymous said...

baby zarina,zari wewe ndo kiboko yao bebesha pochi mpaka ashike adabu yake anadhani demu wa kibongo bongo wewe.diamond hana lake hapo anafuta tu mkia na anaufyata usisikiye anajua baby zari ana ma deal ya kumchogea atengeneze pesa ndo maana anaufyta kila baby zarinah akisemacho jamaa tomboy anakifuata. hana usuper stare wowote ule.

chezea demu za kiganda wewe utabeba pochi hata diaper za mavi ya watoto ha ha ha.

big up baby zarina zari la mentali.