Sunday, February 15, 2015

EDAH NA FAMILIA YAKE WASHEREHEKEA VALENTINE


Edah (wapili tokakushoto) akiwa na familia yake kama walivyokutwa na kamera ya Vijimambo Sheraton ya Silver Spring wakijiandaa kuelekea viwanja kula raha ya Valentine Kushoto ni Vincent.
Edah na Vincent katika picha ya pamoja.

2 comments:

  1. Hongera sana Edah na familia yako,wanao wazuri sana

    ReplyDelete
  2. Picha yanu ya kiheshima.hivi ndiyo inavyotakiwa EDA uko juu.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake