Tuesday, February 17, 2015

Hawa Ndio Walioweka Rekodi Ya Kufunga Ndoa kwenye JENEZA

Miongoni mwa matukio ya kushangaza kama sio kufurahisha yaliyofanywa siku ya Jumamosi Feb.14 katika siku ya wapendanao Valentine’s day, ni lile la wachumba kumi walioamua kufunga ndoa zao wakiwa ndani ya jeneza huko Bangkok, Thailand.
Inasemekana kuwa wapenzi hao walifanya hivyo kwa kuamini kuwa ni njia ya kuondoa mikosi katika ndoa zao.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake