Thursday, February 19, 2015

MH. WASIRA AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA 38 WA WADAU IFAD,ROMA ITALY


Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Mhe. Stephen Wasira akihutubia katika Mkutano wa 38 wa wadau wa mfuko wa Maendeleo wa Kilimo Duniani (IFAD) uliofanyika mjini Roma Nchini Italy.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake