Thursday, March 12, 2015

PROF.TIBAIJUKA"NANYANYASIKA PEKE YANGU BILA MSAADA WA WANAWAKE

Prof. Anna Tibaijuka amekuwa akinyanyasika peke yake bila kusaidiwa kutetewa na wanawake wenzake. Ametolea mfano wa sakata la ESCROW ambalo anadai kuwa ameonewa tu!
Chanzo: Wapo Radio fm

10 comments:

Anonymous said...

Alikua na mpango wa kuwagaia wanawake kwani asingekamtwa..!!

Anonymous said...

Mwanamke ni mwanao mlokula hela ya mboga pamoja

Anonymous said...

Ulivyotiliwa pesa ulitushirikisha lako hilo barabara mbovu kila cku xinaua with kubwa rambirambi tu heal mnagawana nimechoshwa na serikali ya ccm na mwaka huu mwisho we nu loh!

Anonymous said...

Jamani naomba mnitofautishie uprofesa wa huyu mama na uprofesa wa maji marefu. Kwa jinsi anavyoongea pumba kila afumbuapo mdomo inanifanya ni doubt kama hiyo Phd aliipata kwa kuvua nguo au kusoma na kumake analysis.

Anonymous said...

hela ule na familia yako..kutetewa utetewe na wanawake...uliokula nao ndio watakutetea

Anonymous said...

Baraza la maadili Lina wanawake wawili judge hilda gondwe na judge celina watamfikiria probably

Anonymous said...

Umewaaibisha wanawake ndiyo maana wamekutosa.

Anonymous said...

Kweli hujafa hujaumbika. She is bonkers!

Anonymous said...

Hebu rejesha fedha yote kama ulivyoingiziwa tu leo uone kama hukupata heshima yako!! Kuna shida gani wakati mifweza unayo !!

Anonymous said...

Sasa tumeweza kumfahamu na kumuelewa mama huyu. Kumbe kichaa kabisa. Huko Umoja wa mataifa alikuwa akifanya nini? Maajabu kweli kweli. Waziri mzima uchukue fedha hizo kimya kimya kisha ukigunduliwa utulalamikie sote kwamba hatukusaidii. hivi kweli inaingia akilini isipokuwa za mwendawazimu.