Thursday, May 28, 2015

Leo ni miaka miwili toka msanii ALBERT MANGWEAH alivyoaga dunia MAY 28, 2013



Wasanii mbalimbali wa muziki wa Bongo Fleva wakiwa kwenye picha ya pamoja katika kaburi la Albert Mangweah maeneo ya Kihonda Morogoro.

DAIMA TUTAKUKUMBUKA

PUMZIKA KWA AMANI

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake