Advertisements

Tuesday, June 30, 2015

EMMANUEL ELISA NYITI AAGWA KANSAS CITY JUMAPILI, MWILI KUSAFIRISHWA KESHO JUMATANO

Picha ni Emmanuel Elisa Nyiti enzi ya uhai wake.
Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Emmanule Nyiti likishushwa kanisani kwa ajili ya ibada ya kumuaga mpendwa Emmanuel Nyiti siku ya Jumapili June 28, 2015 Kansas City jimbo la Missouri
Jeneza likiwa kanisani.
Ndugu, jamaa na jamaa wakifuatilia ibada ya kumbukumbu na kuaga mwili wa mpendwa Emmanule Nyiti siku ya Jumapili June 28, 2015 Kansas City.


No comments: