Saturday, June 27, 2015

HARAMBEE YA MSIBA HOUSTON, TEXAS NA TANZANIA

Marehemu Edmund Mushi enzi za uhai wake
Kama tulivyoahidi hapo awali kwamba taarifa zaidi zitafuata. Harambee kwa ajili ya kuchangisha pesa zitakazowezesha kusafirisha mwili wa ndugu yetu, marehemu Bw. Edmund Mushi, itafanyika siku ya Jumamosi June 27, 2015katika anuani ifuatayo:



9423 Highway 6 Houston, TX 77083. Muda ni kuanzia saa 10 alasiri mpaka saa 2 jioni.

Kwa wale ambao hawataweza kufika ukumbini au waliokuwa nje ya mji wa Houston tunaomba msaada wa michango yenu katika accout ifuatayo:

Wells Fargo Bank
Edmund Lawrence Memorial Fund
Account: 6519426271
Routing: 111900659
For non Wells Fargo account holders use routing 121000248

Tunatanguliza shukran za dhati kwa ushirikiano na moyo wenu wa kujitolea. Mola awaongezee pale mlipopunguza.
Asanteni,
Arnold Maira, Mwenyekiti Kamati ya Msiba( 832-814-9295)
Novastus Simba, Katibu Kamati ya Msiba( 832-208-8344)

18 comments:

  1. UNAMAANISHA 10AM TO 2PM AU SAA KUMI ASUBUHI HADI SAA MBILI JIONI?

    ReplyDelete
  2. Asante mchangiaji. Je neno Alasiri unalielewaje? Na saa 2 jioni je? Hajasema asb! Ni kiasi cha kutumia akili ya saa unazotumia kila kikicha. Pole.

    ReplyDelete
  3. Mdau hapo juu ni 4pm to 8pm.
    Lol!

    ReplyDelete
  4. kuuliza sio ujinga!! what do you mean kutumia akili?!! I was really serious sikuelewa. Come on relax!!!.what is wrong with some people JIZ!!!

    Asante the second person kwa kunielewesha.

    ReplyDelete
  5. hawa watu wanaokuja marekani wanajifanya wamesahau kiswahili sanifu embu acheni hizi. kwani alasiri na jioni imegeuka kuwa "AM"? some people!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Waambie hao wapuuzi! Utadhani Kiingereza chenyewe wanajua, lakini ukweli ni kwamba "their mastery of either language is below average". Yeyote anayeelewa Kiswahili angalau kwa kiwango cha wastani asingeshindwa kuelewa muda ulioonyeshwa kwenye tangazo.

      Delete
    2. Kueni acheni ujinga...wazee wazima hamna aibu, jamaa kauliza mpe jibu sio historia. Shame on you

      Delete
    3. Mpuuzi mwenyewe...I was looking for an answer not an insult.

      Delete
  6. LUGHA IKO GONGANA..Ndio sababu jamaa kauliza swali, usikasirike.

    ReplyDelete
  7. Asingeuliza kama alikuwa anajua!! Unajuaje kama ni Mtanzania? Labda mkongo, mkenya, uganda. Mtu akiuliza swali jibu sio hasira kwa kuwa wewe unajua. Hata kama ni mtanzania new generation wengi wao hawaelewi mambo ya alasiri au alfajiri. So mueleweshe mtu akiuliza kitu sio kumjaji easy and simple.

    ReplyDelete
  8. Hao wanaokasirika wa nini hivi?!! Hawajui hata ni nani kauliza. Wengine wamekuja huku wadogo, wengine mambo ya alasiri hawajui. Si umjubu tu mtu kwani tatizo ni nini? Mtu anauliza ili aje kwenye harambee halafu wewe unamjibu kwa madharau au hasira. U dont even know them. Jamani kuweni wastaarabu hii sio siasa ni msiba

    ReplyDelete
  9. Cha muhimu ni ujumbe kushushuana si muhimu hii ni msiba

    ReplyDelete
  10. This is not a place for us to fight . let's all be mature and behave. Is not necessary to be nasty to each . It is never dump to ask a question.be kind to one another

    ReplyDelete
    Replies
    1. You just had a poor choice of language, buddy! You'd rather use your native Swahili to effectively convey your message than use broken English. Alternatively, be sure to have your English teacher edit your message before you publish it. OK?

      Delete
  11. Mtu akiuliza swali mjibuni. Kwa mfano. ... Mimi mtoto wangu hapa Dar es Salaam Tanzania hajui maneno mengi ya kiswahili sababu ya mazingira ya shule asomayo. Hivyo akiniuliza swali hasa neno "alasiri au machweo" namjibu kwa upole kwa kumfundisha

    ReplyDelete
  12. My English is better than yours. How about you put period where it belongs. Be kind to one another. Have a blessed day.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Take an English grammar class, buddy! Otherwise, you'll keep thinking there's a missing period where it actually doesn't belong! OK? I am willing to be your English teacher's teacher at no cost to you! I am an accomplished linguist! If you read this message carefully, you should be able to pickup some useful English grammar rules, including proper punctuations!

      Delete
  13. Felicia go and take a laxative and relax..YOU are about to give yourself an ANEURYSM. Lol. Go and take a NAP

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake