Hii ndiyo picha iliyochafua hali ya hewa kati ya Wema na Linnah inasemekana ilipigwa kwenye sita kwa sita na huyo boyfriend wa Linnah. Jitiririshe hapa chini kusikia Linnah anaongea nini juu ya hii habari amabyo ndiyo joto la mjini bongo kwa sasa kunako mitandao ya kijamii.
Madam Wema Sepetu amkwapua bwana wa Linah Sanga akiongea kwa uchungu msanii huyo wa bongo fleva kwenye kipindi cha Ala za roho,Amedai penzi lake limekwenda na maji baada ya madam kufanya yake.Bwana huyo ndie alikua meneja wake nakufanyia mchakato wa video ya Olitemba South Afrika.Madam Wema juzi juzi tulisikia kaolewa leo tena kasfa nzito ya kuiba bwana wa wawatu.Linah na jamaa huyo wamedumu miaka zaidi ya minne.
1 comment:
Kweli wanawake wa bongo mnatia aibu kweli kweli, mmerogwa na nani? Mlikula majarage ya wapi? Mh. Dj Luke chonde chonde, tumechoka kuona mambo ya aibu kwenye vijimambo blog. Mbona Michuzi, Swahilivilla, Mbeyayetu na blogs nyingine hawaweki mambo kama haya yasiyo na umuhimu katika jamii. Unaidhalilisha blog namna hii.
Post a Comment