Friday, July 17, 2015

EID MOSI DMV

 Aunty Asha akiwa na baba mwenye nyumba wake kwenye Eid Mosi ya TAMCO iliyoidhinishwa siku ya Ijumaa Wheaton, Maryland  July 17, 2015.
 Watanzania DMV wakisherehekea Eid Mosi Wheaton, Maryland nchini Marekani.
 WanaDMV wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Mapema Asubuhi katika Sala ya Eid.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


1 comment:

  1. mashaa Allah,mmependeza ummat mohammad,mashaa Allah.Allah akujaliyeni kila la kheir hapa dunian na kesho akhera.mfuate uislamu kweli kweli na kushika nguzo zake zote.

    inafurahisha sana kukuoneni huko majuu mmeshika dini yenu.Godbless you guys.

    eid Mubarak to all of you

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake