Monday, July 20, 2015

KADA WA CCM ASSENGA ATANGAZA NIA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KILOMBERO

Mchezaji wa timu ya Lumemo Ashir Mtenge (kushoto), akipambana na Juma Ngulukila wa timu ya Kining'ina, timu hizo zilipomenyana katika mechi ya fainali ya Kombea la Assenga, katikaUwanja wa Asante Afrika, Ifakara katika jimbo la Kilombearo mkoani Morogoro, jana. Lumemo ililala kwa bao 6-0. Picha na Bashir Nkoromo
Kada wa CCM Abubakar Assenga akitangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Kilombero, mbele ya ummati wa wananchi waliofurika katika Uwanja wa mpira wa Asante Afrika, Ifakara katika jimbo hilo mkoani Morogoro, jana

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake