Ugomvi baina ya wapenzi waliodumu kwa takribani miaka miwili namzungumzia Shilole na Nuhu Mziwanda umeonekana kuthibitishwa kuwa sio kutafuta Kick kama ilivyo dhaniwa bali niukweli wamemwagana kama wenyewe walivyo thibitisha kwaGossip Cop wa XXL ya Clouds FM.
Shilole ameweka wazi kuwa Nuhu kwake sio mpenzi tena na ikibidi kutafuta mwingine atakaye weza kumfaa na kukaa naye maisha yakaendelea, Akimainisha kuwa walishafanya ngoma ya pamoja lakini hawezi kuitoa kwa sasa kutokana na kuachana kwa.
Kwake Nuhu naye ameweka wazi kuwa zilipendwa na kusema wameachana kwa wema lakini anashangaa kuona Shilole akileta maneno mengi zaidi.
Wasikilize hapa

No comments:
Post a Comment