Sunday, July 19, 2015

MAGUFULI AKIHUTUBIA WAKAZI WA CHATO

5 comments:

  1. Habari Anko
    Mimi ni mbongo naishi Tanzania na mchumba mmarekani, nataka nimuoe na nijehuko marekani
    Na maswali yangu kwa wabongo waishio USA.
    Je miji gani inalipa mishahara mizuri?
    Je ukiwa na mke mmarekani utaweza kufanya mambo yako huku bongo vizuri?
    Nina elimu ya kidato cha sita, je kazi gani ntakazofanya huko au muhimu niwe na degree?
    Wabongo naombeni ushauri wenu tafadhalini

    ReplyDelete
  2. Asante. Yaani umeenda shule halafu unauliza maswali yasiyokuwa na pua wala sikio!!!?. Unatafuta mshahara mzuri kwani Tanzania hakuna mashirika na makampuni makampuni yenye mshahara mnono!? Hivi unataka ufanye mambo.mazuri Tanzania ukiwa Marekani! Hilo sahau kabisa na kamanutakuwa umemuoa au umeolewa na Mmarekani basi ujue umekwisha hayo unayotarajia hayatatokea hadi utoke ulimwengu huu.! Na pili Degree yako ya bongo haifui kitu Marekani hilo ulielewe fika. Nimeamua nikupe ukweli kwani nimeona wengi waliotoka na masters na meneja wa mashirika na kuwaona wanavyoanza maisha mapya kwa kazi ambazo basi ninkwa kuwa upo marekani. Nami nimeishi sana hadi nilipoamua kihamia Denmark. Amerika wamejipanga na kweli ni number 1. Kama umepata dili wewe nenda usiulize mshahara wala kazi ukishatua utayaona usitarajie mtu akueleze ukweli uliojaa uongo ndg yangu. Usijelia!?

    ReplyDelete
  3. Jamani kwani ilikuwa lazima uwanze kwa kumwambia kuwa maswali yake hayafai? Be nice wee ndugu ndo maana Marekani ilikushinda iishi!

    ReplyDelete
  4. Muuliza swala ngoja nijaribu kukujibu

    1. Elimu ya kidato cha Sita ya Tanzania ni sawa na bure hapa Marekani

    2. Yani kubali kujiandaa kuwa ukija huku utakuka kufanya kazi hizi za kutumia nguvu kwa muda mpaka mambo yako yanyooke haswa upande wa makaratasi na elimu. Cha muhimu jua hizo kazi zinalipa tuu na wengi ndio wanatunzia familia zao

    3. Kama mke ni mmarekani mie ningekushahuri au file ye makaratasi yako ukiwa bado hupo bongo kwani hiyo itakurahisishia wewe muda yani ukija huku mambo yako yanakua yapo tayari hausubiri kitu

    4. Pia faida ya wewe ku file makaratasi ukiwa Bongo itakusaidia hata kama ukija huku mwanamke akawa mkorofi basi wewe unaanza zako bila kujali. Lakini hakikisha umepata permanent resident card ile ya miaka kumilikiwa siyo ya miaka 2. Ili uweze kupata ya miaka kumi ni lazima muwe umetimiza miaka 2 kwenye ndoa (sio uchumba, ndoa)

    5. Miji inategemea na State mtakao kuwa mnaishi but uzuri wa Marekani Mishahara ilisha pangwa kabisa so you can google kama unajua ni wapi mtaishi halafu unalinganisha na sehemu nyingine

    6. Hii ni lakuzingatia sana haswa ukienda ubalozini au kwenye interview ya makaratasi usije ukasema au kuonyesha nia ya kuwa umeowa kwasababu ya makaratasi. Watakunyima na kama hupo huku watakurudisha Tanzania siku hiyo hiyo.

    Natuamaini nimekujibu, kama kuna sehemu nimekosea basi wengine watanirekebisha. All the best!

    ReplyDelete
  5. dj luke na ibrah msiwa mnaweka comment mahali si pake.kama kweli njemba yuko serious na kuja huku angejitahidi kuwa mstaarabu na kupost comment yake sehemu husika.noma kichizi wakuu.

    sasa sisi tutaweka wapi comment zetu za adeselama adija.tunaibishwa nyimbo za kinyamwezi toka Enzi na Enzi jeshini na hatujastuka tuku mpaka hii leo.je mnajua maneno hayo ya adeselema tena si adija bali alejah.

    magamba balaaa.eti hatotuangusha kwani katubeba.

    Tanzania kuna makabila kibao iweje leo tuibishwe nyimbo za kinyamwezi.

    na bado watanzania watakichagua chama hikii.looooooooooooo.pole yao.

    adeselema alejah,mchaka mchaka chinjaaaaaaaaaa.jkt oyeeeeeeeeeee.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake