Mwakilishi wa Tanzania Muslim Council ( TAMCO) Bwn. Yusf Faki akiwa katika picha ya pamoja na mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Amadina Bi.Kuthum Yusuf siku ya Ijumaa July 17, 2015 siku Yusuf Faki alipowasilisha mchango wa Zakatulfitri kwa watoto hao kwa niaba ya TAMCO yenye makao makuu yao DMV. Kituo hicho cha kulelea watoto yatima kilichopo Tandale jijini Dar es Salaam kina watoto 68 wanaolelewa na Bi. Kulthum Yusuf na yeyote atakayeguswa na watoto hao anaweza kuwasilisha msaada wake kwa TAMCO kupitia kwa viongozi wa Ally Mohamed, Asha Hariz na Shamis Abdullah.

Msaada wa vyakula mchango wa Zakatulfitri kutoka TAMCO kwa watoto wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Almadina kilichopo Tandale jijini Dar es Salaam.vikiteremshwa kutoka kwenye gari.
Watoto hao waiwa katika picha
Bwana Yufuf Faki akipata picha ya pamoja na watoto hao.











No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake