Katika kipindi cha
MISHUMAA YA KALE (bofya hapa kukifuatilia) cha Julai 17, 2015, tulipata fursa
ya kipekee kuzungumza na msanii mkongwe wa muziki wa dansi nchini
Tanzania, Zahir Ally Zorro, kuzungumzia kuhusu maisha na kifo cha msanii
mwenzake Ramadhan Masanja, maarufu kama BanzaStone
Msikilize
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake