Saturday, July 18, 2015

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AJUMUIKA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU KATIKA SWALA YA EID EL FITRI KITAIFA MKOANI GEITA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na Baadhi ya Viongozi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania, (BAKWATA) na wananchi katika swala ya Sikukuu ya Eid El-Fitri iliyofanyika Kitaifa kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kalangalala, katika Halmashauri ya Mji wa Geita, leo Julai 18, 2015. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki swala ya Sikukuu ya Eid El-Fitri na waumini wa Dini ya Kiislamu iliyofanyika Kitaifa wa Mkoani Geita leo Julai 18, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwahutubia waumini wa dini ya Kisslamu wakati wa swala ya Sikukuu ya Eid El-Fitri iliyofanyika Kitaifa kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kalangalala, katika Halmashauri ya Mji wa Geita, leo Julai 18, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir Ally, baada ya kumalizika kwa swala ya Sikukuu ya Eid El-Fitri kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi, Kalangalala, mkoani Geita, leo Julai 18, 2015
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir Ally, baada ya kumalizika kwa swala ya Sikukuu ya Eid El-Fitri kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi, Kalangalala, mkoani Geita, leo Julai 18, 2015

1 comment:

  1. EID MUBARRAK WATANZANIA WOTE WA HOME NA USA NA U.K NA ALL OVER THE WORLD.
    KWA KWELI INAPENDEZA SANA KUONA TWASIRA HIZI.JAMANI NAKUOMBENI MUIFUATE DINI YENU KISAWA SAWA TAFADHALINI.HAKUNA UMMA BORA KAMA UMMA HUU.MITIHANI IPO LAKINI MWISHO WA SIKU MTAFAULU.TUSIWE WAISLAMU MAJINA TU NA SIKU KUBWA KAMA HIZI.


    SWALAA ALLAH ALLAH MOHAMMAD.SWALLA ALLAH ALEIY WASALAAAM.YA ALLAH TUJALIYE KILA LA KHEIR NA TUSAMEHE MADHAMBI YETU.SISI NA KIZAZI CHETU AMEN.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake